Tangazo.com

Wednesday, December 4, 2013

KAMA ULIKUWA HUMJUI MKE WA JB a.k.a BONGE LA BWANA BASI NDIYO HUYU HAPA..!! TAZAMA PICHA HAPA..!!



Katika pita pita mtandaoni Swahilitz imekutana na picha hizi za JB a.k.a Bonge la bwana akiwa ameziweka katika akaunti yake ya Instagram na kuonyesha ni jinsi gani anajivunia kuoa na kuwa na mke mzuri kama huyu. Tazama picha hapo chini uone ni jinsi gani jamaa anajiamini na anampenda mke wake na haoni shida kumuweka mtandaoni ili mashabiki zake wamfahamu shemeji na wifi yao. 


0 comments:

Post a Comment