Tangazo.com

Wednesday, December 4, 2013

USICHEKE TAZAMA Picha, Wanaume Wamevaa Hivi Ili Kuadhimisha Mwezi Wa Wanawake Duniani

Ili kuonyesha uelewa na jinsi wanavyo thamini mchango wa wanawake kwenye maisha yao wanaume hawa wamekubali kuvaa viatu vya kike aina ya High Hill [Skuna] ilikuonyesha wako tayari kupitia
tabu na matatizo wanaopitia wanawake duniani na wanakubali sana mchango wao kwenye jamii. Wewe upo tayari kupiga picha na viatu hivi sasa? NA SAMMISSAGO


0 comments:

Post a Comment