Tangazo.com

Wednesday, December 4, 2013

VIDEO TRAILER | FILAMU YA KINYAMA ALIYOIGIZA BABY MADAHA GAL BLADDER

                            

Muimbaji na muigizaji wa filamu nchini, Baby Madaha ameigiza kwenye filamu ya vitisho, unyama, mauaji na ubakaji iitwayo Gal Bladder. Filamu hiyo iliyofanyika nchini Kenya, imetayarishwa na Cand n Candy Films ambayo yupo chini yake. Tazama trailer yake hapa. 

                        

0 comments:

Post a Comment